Kwenye darkness we ni candle
Professional wa ku handle
The way you take me to the angle
Wewe ni human being ama angel?
If you want my heart ooh
I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido
(Aah eeeeeh!)
My sheri koko, kwa baridi nipe joto (aah eeeeeh!)
Kisha tupate kimoko babu bibi, kurwa doto (aah eeeeeh!)
My sheri koko kwa baridi nipe joto (aah eeeeeh!)
Kisha tupate kimoko babu, bibi, kurwa doto (aah eeeeeh!)
(Paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(Paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(Paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(Paranawe paranawe)
(Vanny boy)
Hivi unasokota jicho lako legelege lina dondoka (nakuuulizaa...)
Hivi una ka motor panga boy chenga jay jay ooh kocha (wanimaliza...)
Pretty gal, nasty
Nitasema sorry nikimbeza
Ata kama nyuma umepigwa pasi
Sura mbaya dawa yake makeup
Uweke wembe nitakula kiporo
Nimeshapenda sijui kasoro
Jirembe uwe mwororo
Kama huna shepu vaa kigodoro
If you want my heart oh I give you baby carry go
Kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido ooh
(Aah eeeeeh!)
My sheri koko kwa baridi nipe joto
(Aah eeeeeh!)
Ndo uitwange kokoto pekupeku kama mpoto
(Paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(Paranawe paranawe)
I like the way you dancing
Paranawe (noga) paranawe (noga)
I like the way you dancing
Paranawe (noga) paranawe
(Anaeka sweeti)
Katamu mi nakajuwa uwa
Na kanavyo jishaua uwa (ulimi picky) snap na vi maua ua
Midomo denda ngozi muruwa uwa
Awusha ashawa pauka pakawa inuka pagawa (eeeeee...)
Zinduka mandawa pinduka kagawa karuka mabawa
I want to see you dancing
(Paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(Paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(Paranawe paranawe)
I like the way you dancing
Paranawe (noga) paranawe (noga)
Woiyooo woiyoyo woiyooo woiyoyo
Shake what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
Shake what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
Shake what your mama gave you
Cheki wanaona wivu
Wasafi...
Other Lyrics by Harmonize
Single Again
Single
Person Trainer
Nishapona
I Can't Stop
Na Nusu
Samia Tena
Teacher
Niambie
Sandakalawe
Malaika
Jeshi
Best Woman
Show Me
Sijalewa
Inanimaliza
Sherehe
Uno
Mama Anajenga
Mama Teacher
Mood
Kushoto Kulia
Kamaliza
Anatekeleza
Wanajisumbua
Vibaya
Mama
Tanzania
Rumba
Dar Es Salaam
Mwenyewe
One Question
What Do You Miss
Dunia
Wishes
Hawaniwezi
You
Morning Call
Sijui
Usia
Dear X
Die
Leave Me Alone
All Night
Miss Bantu
Matatizo
Tena
Mdomo
X
Wote
Kazi Iendelee
Tepete
Bed Room
Tuna Tamba Nae
Why
I Miss You
Wapo
DM Chick
Never Give Up
Bakhresa
Amelowa
Anajikosha
My Way
Furaha
Muziki
Magufuli
Happy Birthday
Hallelujah
Show Me What You Got
Ujana
Mwaka Wangu
Outside
Zanziba
Sorry
You Better Go
I Miss You
Niteke
Utanikumbuka
Move
Pain
Wangu Mimi
Nitaubeba
Serious Love
Side Niggah
Fall In Love
Good
Bado
Sina
Kainama
Yanga
Deka
Hujanikomoa
Mtaje
Always
Personal Trainer
Shulala
Die
Mpaka Kesho
Wife
Tuvushe
Kwa Ngwaru
Boss
Influencer
Atarudi
Turn Up
Single Again (Remix)
Ni Wewe
Songs Featuring Harmonize
No songs found for the featured artist: Harmonize