Yow, yow
Bomboclaaa-
(Alright)
Nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Sitaki nipeni mji (Weh nenda Dar Es Salaama)
Masela nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Mh, hilo jiji bwana kuishi ujipange
Dada ukitaka gari ni lazima udange
Hadi wamaasai wana namba za Mange
Ama niende Mbeya?
Tulia atanipokea, ila Dar siwezi sogea
Kazi kubeti na umbea
Arusha, naona kama nitajirusha
(Bomboclaaa-)
Keramutu ni Moshi, vipi mimoshi
Naiwaza sana Dodoma
Ila moyo bado una goma
Mh, au niende Kigoma
Ama nipelekeni alipo Roma
(Alright)
Ngoja kwanza, wacha niende Mwanza
Nikale sato kwanza ila mh, Mtwara kwanza
Eti huko Bongo
Vitu vidogo, vidogo wanaume wanasusa
Kila mwenye kiki kidogo anatembea na baunsa (Shit)
Nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Sitaki nipeni mji (Weh nenda Dar Es Salaama)
Masela nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Wanazunguka kwa waganga wakikosa
Wanarudi kwa Mwamposa
Tajiri hanaga makosa
Machinga nafasi kakosa
Joto la Dar, lazima uwe na AC
Muda mwingine umeme unakata kumshinda Ray C
Kama nitasogea, sogea ni Morogoro au Songea
Wanaume wa Dar kwa kuongea, na pa kulala wanagongea
Mm, mh
Yasikutishe maisha yao ya kwenye TV
Buti, jeans na t-shirt, fake Louie V
Wabongo hawakupi mishe hata kama uwe na CV
Ukiacha Iringa na Njombe, Dar pia kuna HIV
Vitu vidogo, vidogo wanaume wanasusa
Kila mwenye kiki kidogo anatembea na baunsa (Shit)
Nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Sitaki nipeni mji (Weh nenda Dar Es Salaama)
Masela nataka mji (Nenda Dar Es Salaama)
Other Lyrics by Harmonize
Single Again
Single
Person Trainer
Nishapona
I Can't Stop
Na Nusu
Samia Tena
Teacher
Niambie
Sandakalawe
Malaika
Jeshi
Best Woman
Show Me
Sijalewa
Inanimaliza
Sherehe
Uno
Mama Anajenga
Mama Teacher
Mood
Kushoto Kulia
Kamaliza
Anatekeleza
Wanajisumbua
Vibaya
Mama
Tanzania
Rumba
Mwenyewe
One Question
What Do You Miss
Dunia
Wishes
Hawaniwezi
You
Morning Call
Sijui
Usia
Dear X
Die
Leave Me Alone
All Night
Miss Bantu
Matatizo
Tena
Mdomo
X
Wote
Kazi Iendelee
Tepete
Bed Room
Tuna Tamba Nae
Why
I Miss You
Wapo
Paranawe
DM Chick
Never Give Up
Bakhresa
Amelowa
Anajikosha
My Way
Furaha
Muziki
Magufuli
Happy Birthday
Hallelujah
Show Me What You Got
Ujana
Mwaka Wangu
Outside
Zanziba
Sorry
You Better Go
I Miss You
Niteke
Utanikumbuka
Move
Pain
Wangu Mimi
Nitaubeba
Serious Love
Side Niggah
Fall In Love
Good
Bado
Sina
Kainama
Yanga
Deka
Hujanikomoa
Mtaje
Always
Personal Trainer
Shulala
Die
Mpaka Kesho
Wife
Tuvushe
Kwa Ngwaru
Boss
Influencer
Atarudi
Turn Up
Single Again (Remix)
Ni Wewe
Songs Featuring Harmonize
No songs found for the featured artist: Harmonize