BeatByte

Loading...

Anatekeleza

By

Harmonize


Wananiita Konde Samia
Waite waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Leo waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waite waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza

Maneno kidogo
Kazi zinaongea
Anageuka mbogo
Kazi ukiichezea
Ndani ya mda mdogo
Taifa limesogea
Wakubwa na wadogo
Dua tunamuombea

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Jamani mama
Anatekeleza Mama
Ilani ya chama
Anatekeleza Mama
Ikulu dodoma
Anatekeleza Mama

Miradi kila kona
Anatekeleza Mama
Ndege si mnaziona
Anatekeleza Mama

Waite waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Leo waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waite waje kumuona Samia
Anavyotekeleza
Waje kumuona Samia
Anavyotekeleza

Msema kweli
Sio mshamba
Ukipata ruksa kutamba
Taifa limepata mwamba
Samia Mwamba

Msema kweli
Sio mshamba
Na ukipata ruksa kutamba
Tanzania tumepata Mwamba
Samia Mwamba

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekele
Anatekeleza Mama

Miradi kila kona
Anatekeleza Mama
Ndege si mnaziona
Anatekeleza Mama

Tanzania sio nchi masikini
Anatekeleza Mama
Maji na umeme
Hadi vijijini
Anatekeleza Mama
Elimu huduma mahospitalini
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekeleza
Anatekeleza Mama

Anatekele
Anatekeleza
Anatekeleza Mama

Other Lyrics by Harmonize

Single Again

Single

Person Trainer

Nishapona

I Can't Stop

Na Nusu

Samia Tena

Teacher

Niambie

Sandakalawe

Malaika

Jeshi

Best Woman

Show Me

Sijalewa

Inanimaliza

Sherehe

Uno

Mama Anajenga

Mama Teacher

Mood

Kushoto Kulia

Kamaliza

Wanajisumbua

Vibaya

Mama

Tanzania

Rumba

Dar Es Salaam

Mwenyewe

One Question

What Do You Miss

Dunia

Wishes

Hawaniwezi

You

Morning Call

Sijui

Usia

Dear X

Die

Leave Me Alone

All Night

Miss Bantu

Matatizo

Tena

Mdomo

X

Wote

Kazi Iendelee

Tepete

Bed Room

Tuna Tamba Nae

Why

I Miss You

Wapo

Paranawe

DM Chick

Never Give Up

Bakhresa

Amelowa

Anajikosha

My Way

Furaha

Muziki

Magufuli

Happy Birthday

Hallelujah

Show Me What You Got

Ujana

Mwaka Wangu

Outside

Zanziba

Sorry

You Better Go

I Miss You

Niteke

Utanikumbuka

Move

Pain

Wangu Mimi

Nitaubeba

Serious Love

Side Niggah

Fall In Love

Good

Bado

Sina

Kainama

Yanga

Deka

Hujanikomoa

Mtaje

Always

Personal Trainer

Shulala

Die

Mpaka Kesho

Wife

Tuvushe

Kwa Ngwaru

Boss

Influencer

Atarudi

Turn Up

Single Again (Remix)

Ni Wewe

Songs Featuring Harmonize

No songs found for the featured artist: Harmonize

Most Viewed Lyrics