BeatByte

Loading...

Home / Album / Muziki Wa Samia /

Mama Teacher

Mama Teacher

By

Harmonize


Yaw yaw
Jeshii

Wapinzani wana hanya
Kugombea kiti
Wanajadiliana
Wamchafue vipi
Eti inakuaje mwanamama
Anashika kijiti
Awajibu mama
Ni nguzo iliyosimama fit
Ninachojua masela
Huko mtaaani kuna dhiki
Mama anafungua hela
Jitume upate ridhiki
Mafumbwa ndika kwadela
Ccm hatukupi kiki
Upepo haufati bendera
Hapapatiki
Onanana

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kasimama kainuka na kucheza

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kainuka kasimama na kucheza

Mama teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Mama teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kasimama kainuka na kucheza

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kainuka kasimama na kucheza

Ninachojua masela
Huko mtaani kuna dhiki
Mama anafungua hela
Jitume upate ridhiki
Mafumbwa ndika kwadela
Ccm hatukupi kiki
Upepo haufati bendera
Hapapatiki
Onanana

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kasimama kainuka na kucheza

Mama kazi anaiweza
Na ndio maana
Me naimba na kucheza
Ona inavyo mpendeza
Eti kainuka kasimama na kucheza

Mama teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Mama teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Nhe
Mwaka huu wanakutayonje
Anakutayonje
Nagakweli
Mavantanda mwemama e mmakonde
Kabisa
We Umemuona mama
Mama samia mama
Naikakupweteka kalipambilile

Teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Mama teacher
Teacher konde
Teacher
Teacher konde

Other Lyrics by Harmonize

Single Again

Single

Person Trainer

Nishapona

I Can't Stop

Na Nusu

Samia Tena

Teacher

Niambie

Sandakalawe

Malaika

Jeshi

Best Woman

Show Me

Sijalewa

Inanimaliza

Sherehe

Uno

Mama Anajenga

Mood

Kushoto Kulia

Kamaliza

Anatekeleza

Wanajisumbua

Vibaya

Mama

Tanzania

Rumba

Dar Es Salaam

Mwenyewe

One Question

What Do You Miss

Dunia

Wishes

Hawaniwezi

You

Morning Call

Sijui

Usia

Dear X

Die

Leave Me Alone

All Night

Miss Bantu

Matatizo

Tena

Mdomo

X

Wote

Kazi Iendelee

Tepete

Bed Room

Tuna Tamba Nae

Why

I Miss You

Wapo

Paranawe

DM Chick

Never Give Up

Bakhresa

Amelowa

Anajikosha

My Way

Furaha

Muziki

Magufuli

Happy Birthday

Hallelujah

Show Me What You Got

Ujana

Mwaka Wangu

Outside

Zanziba

Sorry

You Better Go

I Miss You

Niteke

Utanikumbuka

Move

Pain

Wangu Mimi

Nitaubeba

Serious Love

Side Niggah

Fall In Love

Good

Bado

Sina

Kainama

Yanga

Deka

Hujanikomoa

Mtaje

Always

Personal Trainer

Shulala

Die

Mpaka Kesho

Wife

Tuvushe

Kwa Ngwaru

Boss

Influencer

Atarudi

Turn Up

Single Again (Remix)

Ni Wewe

Songs Featuring Harmonize

No songs found for the featured artist: Harmonize

Most Viewed Lyrics