BeatByte

Loading...

Home / Album / Muziki Wa Samia /

Mama Anajenga

Mama Anajenga

By

Harmonize


Tanzania ya samia
Inajengwa na watanzania
Wenye macho
Wanashuhudia
Hatua tunazofikia
Kila siku kila wiki kila mwezi
Sina budi kuisifu
Wizara yetu ya ujenzi

Pongezi kwa TANROADS
Mnachapa kazi kila leo
Pesa za walipa kodi
Ndio chachu ya maendeleo
Asanteni TEMESA
Mnachapa kazi bila kupepesa
Vivuko vishawahi kututesa
Mama kawekeza
Nguvu na pesa
Tanzania Inajengwa
Tanzania kwanzaa
Tanzania Inajengeka
Tanzania kwanzaa
Jamani Mama Anajenga
Tanzania kwanzaa
Barabara Zinajengeka
Tanzania
Hongereni TBA
Mnachapa kazi
Bila kurudi nyuma
Tunayaona
Majumba ya wafanyakazi
Na watumishi wa umma
Kwenye jiji la dar
Arusha na dodoma
Ooh ni furaha
Iliyoje kuyaona

Pongezi kwa TANROADS
Mnachapa kazi kila leo
Pesa za walipa kodi
Ndio chachu ya maendeleo
Asanteni TEMESA
Mnachapa kazi bila kupepesa
Vivuko vishawahi kututesa
Mama kawekeza
Nguvu na pesa
Tanzania Inajengwa
Tanzania kwanzaa
Tanzania Inajengeka
Tanzania kwanzaa
Jamani Mama Anajenga
Tanzania kwanzaa
Barabara Zinajengeka
Tanzania
Tanzania

Kondeboy call me number one
Mtoto wa samia
Wananiita konde Samia Suluhu

Other Lyrics by Harmonize

Single Again

Single

Person Trainer

Nishapona

I Can't Stop

Na Nusu

Samia Tena

Teacher

Niambie

Sandakalawe

Malaika

Jeshi

Best Woman

Show Me

Sijalewa

Inanimaliza

Sherehe

Uno

Mama Teacher

Mood

Kushoto Kulia

Kamaliza

Anatekeleza

Wanajisumbua

Vibaya

Mama

Tanzania

Rumba

Dar Es Salaam

Mwenyewe

One Question

What Do You Miss

Dunia

Wishes

Hawaniwezi

You

Morning Call

Sijui

Usia

Dear X

Die

Leave Me Alone

All Night

Miss Bantu

Matatizo

Tena

Mdomo

X

Wote

Kazi Iendelee

Tepete

Bed Room

Tuna Tamba Nae

Why

I Miss You

Wapo

Paranawe

DM Chick

Never Give Up

Bakhresa

Amelowa

Anajikosha

My Way

Furaha

Muziki

Magufuli

Happy Birthday

Hallelujah

Show Me What You Got

Ujana

Mwaka Wangu

Outside

Zanziba

Sorry

You Better Go

I Miss You

Niteke

Utanikumbuka

Move

Pain

Wangu Mimi

Nitaubeba

Serious Love

Side Niggah

Fall In Love

Good

Bado

Sina

Kainama

Yanga

Deka

Hujanikomoa

Mtaje

Always

Personal Trainer

Shulala

Die

Mpaka Kesho

Wife

Tuvushe

Kwa Ngwaru

Boss

Influencer

Atarudi

Turn Up

Single Again (Remix)

Ni Wewe

Songs Featuring Harmonize

No songs found for the featured artist: Harmonize

Most Viewed Lyrics