BeatByte

Loading...

Mama

By

Harmonize


Yeah this one goes to all beautiful mothers in the world
I love you mama
I wanna talk to yah

Helo mamaa
Leo nmepata kisimu cha kuazimaa
Nkaona hata angalau nijue hali yako oo
Vipi uposalama
Nia na dhumuni nijue kama umzimaa
Hadi nmesahau shikamoo heshima yakoo
Ingawa bado mambo magumu
Bado sijachokaa napambanaa
Ulinisihi nakudhurumu
Ni makosa kwa rabana

Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao
Ukahisi napochoa
Ila niombee Kila kukicha mi ni mwanao
Ipo siku ntantoboa
Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
Tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
Eeeeeeee mamaa I love you
I say I love you mam (Aahh mama I love you)
Nahangaika ili keshooo nkutunze
Mama I love you
I love you I love (Aahh mama I love you)
Hihihi I love u mom

Miezi 9 tumboni kwa mateke mi mtundu ulinbeba.
Ukajitwesha mgongoni upweke na uchungu ule wa Leba
Nikisema nikusifie sifa Zako siwezi maliza ninacho tamani we usikie
Kwajili yako na bangaizaaa
Mama sio mchana sio usiku kukicha nakwenda lesii
Ila naamini ipo siku Mola atanfanyia wepesi

Chunga Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi napochoa
We niombee Kila kukicha mi ni mwanao
Ipo siku ntantoboa
Nliskiaga mjomba isa yule fundi mbao
Tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nna doa la kuwa mbali nawe we
Eeeeeeee mamaa I love you
I say I love you mam (Aahh mama I love you)
Nahangaika ili keshooo nkutunze
Mama I love you
I love you I love (Aahh mama I love you)
Hihihi I love u mom

Other Lyrics by Harmonize

Single Again

Single

Person Trainer

Nishapona

I Can't Stop

Na Nusu

Samia Tena

Teacher

Niambie

Sandakalawe

Malaika

Jeshi

Best Woman

Show Me

Sijalewa

Inanimaliza

Sherehe

Uno

Mama Anajenga

Mama Teacher

Mood

Kushoto Kulia

Kamaliza

Anatekeleza

Wanajisumbua

Vibaya

Tanzania

Rumba

Dar Es Salaam

Mwenyewe

One Question

What Do You Miss

Dunia

Wishes

Hawaniwezi

You

Morning Call

Sijui

Usia

Dear X

Die

Leave Me Alone

All Night

Miss Bantu

Matatizo

Tena

Mdomo

X

Wote

Kazi Iendelee

Tepete

Bed Room

Tuna Tamba Nae

Why

I Miss You

Wapo

Paranawe

DM Chick

Never Give Up

Bakhresa

Amelowa

Anajikosha

My Way

Furaha

Muziki

Magufuli

Happy Birthday

Hallelujah

Show Me What You Got

Ujana

Mwaka Wangu

Outside

Zanziba

Sorry

You Better Go

I Miss You

Niteke

Utanikumbuka

Move

Pain

Wangu Mimi

Nitaubeba

Serious Love

Side Niggah

Fall In Love

Good

Bado

Sina

Kainama

Yanga

Deka

Hujanikomoa

Mtaje

Always

Personal Trainer

Shulala

Die

Mpaka Kesho

Wife

Tuvushe

Kwa Ngwaru

Boss

Influencer

Atarudi

Turn Up

Single Again (Remix)

Ni Wewe

Songs Featuring Harmonize

No songs found for the featured artist: Harmonize

Most Viewed Lyrics