Eyoo Trone
Mocco!
Kimaso maso aah
Umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu
Naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh
Nitachonga barabara
Ya mapenzi nipite nawe
Iwe imara imara
Kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba sana sala
Kwa Mwenyezi nizikwe nawe
Unang'ara ng'ara mbalamwezi
Sa acha ni mine
Oh my God
I feel so lucky
To have you in my life
Oh my love, you are the blessing brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever
Will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe
Together for life, yeah
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena, oh I love you (Zue, Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena
Zue, Zue, Zue, Zuena, Zuena
Kanitoa bahari ya kusi
Kanileta mashariki (Zuena)
Huyu sungura, mwenye nyeupe nyusi
Hizi mbichi haziliki (Zuena)
Nikupindue pindue
Kama nageuza samaki (Samaki)
Wasiojua wajue
Nimekupenda sikuachi
Umukwano Zuena (Zuena) Zuena
Omulundi Zuena (Zuena) Zuena
Oh my God
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love, you are the blessing
Brought for me from above
Oh my love, I'll be your man forever
Will you be my wife?
Baba Lord atulinde mi nawe
Together for life yeah
Zuena
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena, oh, I love you (Zue, Zuena)
I'm addicting mum
Fallin' for your love
My heart twisting
Ulinga ka suti blue
Bueno na mukwano interesting
Eeh chungu la macho mama
Wanauliza mbona unanipenda
Wanna put a ring in your finger
Wajua wanasema
Vita si ya mjinga
Maisha wawili
Si tujatatenda ah ah aah
Zue, Zuena, Zue, Zuena
Zue, Zuena, eh eh eeh
Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
I love you Zuena
Zuena oh, I love you
(Zue, Zue, Zuena)
I love you Zuena
Zuena, Zue, Zue, Zue
In everything you do do do
I love you, boo boo boo
You are my Zue, Zue, Zue
I mean Zue, Zue, Zue
You are my boo boo boo
Other Lyrics by Rayvanny
Come
CCM Tetema
Shake Shake
Twerk
Unaibiwa
Honey
Lala
Wanaweweseka
Tetema
Mbeleko
Tingisha
Gimmidat
Wababa
Vacation
I Love You
Chombo
Nipigie
Juu
Waongo
Marry Me
Mwanza
Dance
Angelina
Mama
My Babe
Baila
I Love You
Señorita
Mchepuko
Sweet Melody
Vumilia
Miss Buza
My Lady
Falling In Love
Mtamu
Number One (Remix)
Mzuri
Kiuno
Makulusa
Zezeta
Amaboko
Habibi
Sweet
Chuchumaa
Corona
Vumbi
Sugu
Nateswa
Christmas
Slow
Kelebe
Mama La Mama
Rara
Teamo
Wasi Wasi
Nakupenda
One Two
Rotate
Namtaka
Penzi
I Miss You
Chuchumaa (Remix)
Mama
Te Quiero
Girlfriend
Mtoto
Tunawabuluza
Naoa
Kwetu
Baby
Usingizi
Stay
Kitu Kizito
Nitongoze
Nesa Nesa
Zipo
Sisi
Kaniacha
Koroga
Siri
Ex Boyfriend
Woza
Party
Natafuta Kiki
Sensema
Mi Amor
Sound From Africa
Mwambieni
One
Naogopa
Cheating
Bonnie & Clyde
CCM Wayaa!
Bailando
Number One
Magufuli Jembe
Money
Mwamba
Zamani
Ni Mungu
Yanga Mwamba
Fundi
Juju
Happy Birthday
Mon Amour
Bebe
One Day Yes
Forever
Songs Featuring Rayvanny
No songs found for the featured artist: Rayvanny