[Rayvanny:]
Hhhmm...
Nimeanza safari ya penzi na wewe usiikatishe (eeeh)
Mungu mwema baba mbali atufikishe (eeeh)
Mi binadamu nakosea nikiteleza usiuzunike (eeeh)
Milele mwanadada nikifa unizike
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu
Natamka niwewee
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (niweweee)
Imenishinda siri kifuani mwangu (aaaah aaah)
Nikupeleke nyumbani kwetu sheri eeeh
Ukawajue na ndugu zangu mama aaah
Unipeleke nyumbani kwenu bibi weweee
Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah
Siri yanini (siri)
Nini maaana yake oooh (siri)
Siri ya niiini (siri)
Nini hasara zake (siri)
Siri oooh siri mapenzi ya siri iiiiiiih
Ooh mama lolooooh...
Ooh mama lolooooh...
Ooh mama lolooooh...
[Nikk Wa Pili:]
Eeh mama
Nipe utamu kabla ujatamka usingizi
Si come mpaka tukiamka ni series
Kakonko twende kamara kibirizi
Mapaja yake utamu michirizi
Michepuko imenuna imezila siri siri
Na wee ni kachumbali mayonnaise pili pili
Pili pili manga tunakilikili wanga
Kilimanjaro nyumbani kwetu kisimili mwanga
Si mama nikk simama wima
Siri ya mapenzi nikufikishe kwa kina
Umebeba beba
Mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba
Mkungu wa muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
[Rayvanny:]
Ooh mama lolooooh...
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooh mama lolooooh...
Sitoficha mdudu mapenzi
Ooh mama lolooooh...
Mama lolooooh...
Kwako sijiwezi
Ooh mama lolooooh...
Mama lolooo...
Kwenye kamoyo mi sina (siri)
Je nikutaje ka jina (siri)
Wajue wenye fitina (siri)
Jembe nipo nalima (siri)
Basi nawe usifiche maaa... (siri)
Sema watupishe naaa... (siri)
Vichefuchefu watapishe naaa... (siri)
Penzi letu lisiishe m mi na wewee... (siri)
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Siri yanini (owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini maaana yake (owe owe oweoooo owe owe owaa)
Siri ya niiini (owe owe oweoooo owe owe owaa)
Nini hasara zake (owe owe oweoooo owe owe owaa)
Other Lyrics by Rayvanny
Come
CCM Tetema
Shake Shake
Twerk
Unaibiwa
Honey
Lala
Wanaweweseka
Tetema
Mbeleko
Tingisha
Gimmidat
Wababa
Vacation
I Love You
Chombo
Nipigie
Juu
Waongo
Marry Me
Mwanza
Dance
Angelina
Mama
My Babe
Baila
I Love You
Señorita
Mchepuko
Sweet Melody
Vumilia
Miss Buza
My Lady
Falling In Love
Mtamu
Number One (Remix)
Mzuri
Kiuno
Makulusa
Zezeta
Amaboko
Habibi
Sweet
Chuchumaa
Corona
Vumbi
Sugu
Nateswa
Christmas
Slow
Kelebe
Mama La Mama
Rara
Teamo
Wasi Wasi
Nakupenda
One Two
Rotate
Namtaka
Penzi
I Miss You
Chuchumaa (Remix)
Mama
Te Quiero
Girlfriend
Mtoto
Tunawabuluza
Naoa
Kwetu
Baby
Usingizi
Stay
Kitu Kizito
Nitongoze
Nesa Nesa
Zipo
Sisi
Kaniacha
Koroga
Ex Boyfriend
Woza
Party
Natafuta Kiki
Sensema
Mi Amor
Sound From Africa
Mwambieni
One
Naogopa
Cheating
Bonnie & Clyde
CCM Wayaa!
Bailando
Number One
Magufuli Jembe
Money
Mwamba
Zamani
Ni Mungu
Yanga Mwamba
Fundi
Juju
Happy Birthday
Mon Amour
Zuena
Bebe
One Day Yes
Forever
Songs Featuring Rayvanny
No songs found for the featured artist: Rayvanny