[Rayvanny:]
Mwaga maji tucheze kama kamabale
Leo ni vannyboy yupo na mtoto wa tandale
Aiiiiiii!
Amaboko
Eeeeeeeh amaboko (iiiiiiiii!)
Amagulu
Eeeeeeh amagulu (kiruuuu!)
Amabokooo!
Eeeeeh amaboko
Amagulu
Eeeeeeh amagulu
Aah gbeseee!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto!
Watoto wa bibi
Wanacheza kote mpaka kwenye matope
Wanavua wigi
Kama wamegombana na ebitoke!
Fanya kama unadukua (twende sasa!)
Unanengua (twende sasa!)
Unapika na pakua (twende sasa!)
Aiii chukua (twende sasa!)
Nasema popooo popo (tunakesha popo!)
Leta chupa kwa chupa na moshi tulewe (tunakesha popo!)
Nasema popooo popooooh (tunakesha popo!)
Shika pesa tusepe
Silali mwenyewe (tunakesha popo!)
Chiiiii!
Anasasambua (kalewa!)
Anakibinua (kalewa lewa!)
Anajichetua (kalewa!)
Aiyayayayayaaa (kalewa lewa!)
Amaboko
Eeeeeeeh amaboko (iiiiiiiii!)
Amagulu
Eeeeeeh amagulu (kiruuuu!)
Amabokooo!
Eeeeeh amaboko
Amagulu
Eeeeeeh amagulu
Aah gbeseee!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto!
[Diamond Platnumz:]
Asa baby show
Shooow onyesha alichokupa mama
Babe ko (komesha usijali lawama)
Kana sipidi didi diiiiii!
Mwendo 4g jijiii jiii!
Katoto gwijigwiji jiiii!
Kwenye kujigijigi jiii!
Ah! venye nyomi kijiji
Manyoni itigigiiiii
Twende mpaka morning ikibidiiii
Nizame shimoni kimbijiii
Eeeeeeh katoto kana papara (paraaa!)
Kupigwa nyembe kipara (para!)
Namvuta kama sigara (raaaaa raraaa!)
Nasema popo popooo (tunakesha popo!)
Tembeza cha ukucha na monde tulewe (tunakesha popooo!)
Jamani popoo popo (tunakesha popooo!)
Kama akigoma vuta usilale mwenyewe (tunakesha popoooo!)
Ayaya yayaaaa (kimempandaa!)
Oooh kidaruso (kimempandaa!)
Kaisha leo (kimempandaa!)
Namsomba kama fuso (kimempandaa!)
Umo umooo!
[Rayvanny:]
Amaboko
Eeeeeeeh amaboko (iiiiiiiii!)
Amagulu
Eeeeeeh amagulu (kiruuuu!)
Amabokooo!
Eeeeeh amaboko
Amagulu
Eeeeeeh amagulu
Aah gbeseee!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto to!
Tooto litoto!
Mwaga maji tucheze kama kamabale
Leo ni vannyboy yupo na mtoto wa tandale
Aiiiiiiih!
Mwaga maji tucheze kama kamabale (umo umooo!)
Leo ni vannyboy yupo na mtoto wa tandale
[Diamond Platnumz:]
Sa chezesha kileso! (kileso!)
Kileso kileso (kileso!)
Zungusha kileso (kileso!)
Eeeh kileso kileso!
Kama unakibana kwa kwapa (kileso!)
Kilete kwa hapa (kileso!)
Kama unarusha unadaka (kileso!)
Mmmh swadakta (kileso!)
Other Lyrics by Rayvanny
Come
CCM Tetema
Shake Shake
Twerk
Unaibiwa
Honey
Lala
Wanaweweseka
Tetema
Mbeleko
Tingisha
Gimmidat
Wababa
Vacation
I Love You
Chombo
Nipigie
Juu
Waongo
Marry Me
Mwanza
Dance
Angelina
Mama
My Babe
Baila
I Love You
Señorita
Mchepuko
Sweet Melody
Vumilia
Miss Buza
My Lady
Falling In Love
Mtamu
Number One (Remix)
Mzuri
Kiuno
Makulusa
Zezeta
Habibi
Sweet
Chuchumaa
Corona
Vumbi
Sugu
Nateswa
Christmas
Slow
Kelebe
Mama La Mama
Rara
Teamo
Wasi Wasi
Nakupenda
One Two
Rotate
Namtaka
Penzi
I Miss You
Chuchumaa (Remix)
Mama
Te Quiero
Girlfriend
Mtoto
Tunawabuluza
Naoa
Kwetu
Baby
Usingizi
Stay
Kitu Kizito
Nitongoze
Nesa Nesa
Zipo
Sisi
Kaniacha
Koroga
Siri
Ex Boyfriend
Woza
Party
Natafuta Kiki
Sensema
Mi Amor
Sound From Africa
Mwambieni
One
Naogopa
Cheating
Bonnie & Clyde
CCM Wayaa!
Bailando
Number One
Magufuli Jembe
Money
Mwamba
Zamani
Ni Mungu
Yanga Mwamba
Fundi
Juju
Happy Birthday
Mon Amour
Zuena
Bebe
One Day Yes
Forever
Songs Featuring Rayvanny
No songs found for the featured artist: Rayvanny