BeatByte

Loading...

Home / Rayvanny /

Vumbi


[Rayvanny:]
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Yani tunazoa zoa

Mwaga jasho miguu iwake moto
Timua vumbi timua
Kisigino kibebwe na ugoko
Timua vumbi timua
Ruka ruka tuziamshe popo
Timua vumbi timua
Vua shati ukisikia joto
Timua vumbi timua
Sa tuna kisanua (vumbi)
Tunawachafua (vumbi)
Tunawapa mafua (vumbi)
Vumbi timua vumbi
Tunakata fumua (vumbi)
Wakizingua (vumbi)
Tunawapa mafua (vumbi)
Vumbi timua vumbi
Wanatukimbiza wasafi eeeeh!
Wapo makundi makundi
Lakini hawatupati eeeeh!
Tunawaachia vumbi!

Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua

[Diamond Platnumz & Rayvanny:]
Ooh! kama mashine yakoboa mpunga
Timua vumbi timua
Sunami changanya na kimbunga
Timua vumbi timua
Gwaride la jeshi (timua...!)
Embu changa simenti (timua...!)
Chana jamvi kapeti (timua... mama!)
Timua vumbi timua
Leeee leleee
Timua muchanga
Kama unalicheza vanga (leeeeleee leee)
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga (leeee leleee)
Leeee leleee
Timua muchanga
Kama unalicheza vanga (leeeeleee leee)
Mzuka ukipanda
Vua shati kama mwanga
Asa kachili saga (saga saga)
Kamatia zaga (zaga zaga)
Isugulie gaga (gaga gaga)
Kinaga ubaga
Twendee timua...!

[Rayvanny:]
Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua
Timua vumbi timua timua vumbi timua

Mwendo kama farasi (ooooh ooooh tunawatimua timua)
Twawatoa kamasi (ooooh wanaugua na mafua)
Mwendokama farasi (ooooh ooooh tunawatimua timua)
Twawatoa kamasi (ooooh wanaugua na mafua)
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Yani tunazoa zoa
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Kimbunga hichoo
Tunabomoa bomoa

Kasi kama risasi (ooooh ooooh)
Tuko nduki kibati (ooooh ooooh)
Hawatukamati (ooooh tunawatimua timua)

Shika asa kitimue (timu timu)
Yani chimba (timu timu)
Fukua fukua (timu timu)
Chimba chimba... eeeh!
Vidole chepeo (timu timu)
Kiuno mpini (timu timu)
Fanya kama kolea (timu timu)
Ifukue kwa chini
Anza tena!

Other Lyrics by Rayvanny

Come

CCM Tetema

Shake Shake

Twerk

Unaibiwa

Honey

Lala

Wanaweweseka

Tetema

Mbeleko

Tingisha

Gimmidat

Wababa

Vacation

I Love You

Chombo

Nipigie

Juu

Waongo

Marry Me

Mwanza

Dance

Angelina

Mama

My Babe

Baila

I Love You

Señorita

Mchepuko

Sweet Melody

Vumilia

Miss Buza

My Lady

Falling In Love

Mtamu

Number One (Remix)

Mzuri

Kiuno

Makulusa

Zezeta

Amaboko

Habibi

Sweet

Chuchumaa

Corona

Sugu

Nateswa

Christmas

Slow

Kelebe

Mama La Mama

Rara

Teamo

Wasi Wasi

Nakupenda

One Two

Rotate

Namtaka

Penzi

I Miss You

Chuchumaa (Remix)

Mama

Te Quiero

Girlfriend

Mtoto

Tunawabuluza

Naoa

Kwetu

Baby

Usingizi

Stay

Kitu Kizito

Nitongoze

Nesa Nesa

Zipo

Sisi

Kaniacha

Koroga

Siri

Ex Boyfriend

Woza

Party

Natafuta Kiki

Sensema

Mi Amor

Sound From Africa

Mwambieni

One

Naogopa

Cheating

Bonnie & Clyde

CCM Wayaa!

Bailando

Number One

Magufuli Jembe

Money

Mwamba

Zamani

Ni Mungu

Yanga Mwamba

Fundi

Juju

Happy Birthday

Mon Amour

Zuena

Bebe

One Day Yes

Forever

Songs Featuring Rayvanny

No songs found for the featured artist: Rayvanny

Most Viewed Lyrics