Eti nawaza lini ntakua na jina namie?
Uku minawazima naagiza pochi kwa China
Uku wanadis minajituma, eti ntapata tabu
Uku wanahisi minawasa, eti ntapata adhabu
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA! Eh
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA!
Nahishi kwa mama bado kijana twacheza makereko
Nikula nachotaka nanenepa mpaka navimba
Twacheza malereko make' makereko
Twacheza malereko make' makereko
Wapenda collabo-naminitake hizo
Nazile shobo niacheni nazo
Umecheza mchereko machine kope akili mbovu
Wameleta upepo na zinakutoka, pepo
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA!
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA!
LINAWACHOMA Mama LINAWACHOMA!
Other Lyrics by BY Dock Baby
Nime Kumiss Sana
Songs Featuring BY Dock Baby
No songs found for the featured artist: BY Dock Baby